Wimbi la ajali TANZANIA lazidi sababisha vifo na majonzi mioyoni mwa Watanzania lukuki.

Basi la Kampuni ya Dar Express likiungua na kuteketea kwa moto katika barabara ya Segera –Chalinze eneo la Kijiji cha Segera, mkoani Tanga.

Baadhi ya wananchi wakishangaa mabaki ya moja ya magari ambayo yaliwaka moto uliotokana na Lori la mafuta kulipuka na kuwaka moto.Katika ajali hiyo ya kusikitisha,watu kumi walikufa papo hapo, huku mbunge wa viti maalum Dk Mary Mwanjelwa akijeruhiwa.
JE UNADHANI NINI KIFANYIKE?.
No comments:
Post a Comment